Oka (feat. Mbosso) - Diamond Platnumz/Mbosso
Lyrics by:Diamond Platnumz/Mbwana Yusuph Kilungi
Composed by:Diamond Platnumz/Mbwana Yusuph Kilungi
Nasta ow you naiza
Ashi ashika ashi le general dangote
Ashi ashika ashi kirungi bin shedede
Kananipa mambo ya pwani hadi napandisha mazyiii
Dozi kitandani hadi nazimika ziii
Ooh haniti chibu anakatisha chiii
Ka nyakanga mwali anavyokatika
Jamani ale ale ale alele
Alelele alele ooh ale alele
Alelele alele
Asa oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Baby ooh
Umenifanya nini mi mwana wa mwenzio
Maana kwako sioni umenifunga na sikio
Ukinishika hapa utamu
Ukinigusa huku utamu
Ukinichumu mimi utamu
Ukinibusubusu jamani
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Kama konokono mwenda pole
Kwenye mchanga
Nakupa mkono wa kongole
Baby we mwamba
Hesabu za kukokotoa
Umenifunza wewe
Waniamisha mikoa
Bumbuli kwa ukerewe
Ooh mapenzi ni kinywaji soft baridi
Wananuna mwenzao nikifaidi
Ooh malezi amerithi upande wa bibi
Mwali nyuma kama mlima itigi
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Usizidishe chumvi ntapa safura
Nimeambiwa juzi unachezaga chura
Asa chura anarukaruka
Chura anajumpjump
Chura ooh ooh anarukatuka
Jamani chura anajumpjump
Adede adede adede adede adede yiih
Adede adede adede adede fagilia waaah
Yumpuala babu
Eeeh fagilia waah
Eeeh dokumembe
Iltuyiskita
Kusemasema kando hayo mambo ya kinafki
Kama wayaweza mambo kuja uoneshe kati
Chura anarukaruka chura anajumpjump
Ooh chura anarukatuka chura anajumpjump
Adede adede adede adede adede
Adede adede adede adede adede fagilia waaah
Erikato momo
Eeeh fagilia waah
Dondi yama dondi fumbe
Sonte
Inde inde inde baby inde
Inde inde inde nione inde
Inde inde inde baby inde
Inde inde inde nione inde
Huyo mtoto anabalaa mtoto anakusudi
Muone mtoto anabalaa mtoto anakusudi
Ooh anasifa anabalaa sifa za makusudi anakusudi
Mwana anajibingiritaanabalaa kifudifudi anakusudi
Wasafi
[00:00.00]Oka (feat. Mbosso) - Diamond Platnumz/Mbosso
[00:01.00]Lyrics by:Diamond Platnumz/Mbwana Yusuph Kilungi
[00:01.00]Composed by:Diamond Platnumz/Mbwana Yusuph Kilungi
[00:03.00]Nasta ow you naiza
[00:07.00]Ashi ashika ashi le general dangote
[00:11.00]Ashi ashika ashi kirungi bin shedede
[00:15.00]Kananipa mambo ya pwani hadi napandisha mazyiii
[00:20.00]Dozi kitandani hadi nazimika ziii
[00:23.00]Ooh haniti chibu anakatisha chiii
[00:27.00]Ka nyakanga mwali anavyokatika
[00:29.00]Jamani ale ale ale alele
[00:32.00]Alelele alele ooh ale alele
[00:36.00]Alelele alele
[00:38.00]Asa oka okaka
[00:39.00]Oka okaka
[00:41.00]Oka okaka
[00:43.00]Oka okaka
[00:45.00]Baby ooh
[00:46.00]Umenifanya nini mi mwana wa mwenzio
[00:50.00]Maana kwako sioni umenifunga na sikio
[00:53.00]Ukinishika hapa utamu
[00:55.00]Ukinigusa huku utamu
[00:56.00]Ukinichumu mimi utamu
[00:58.00]Ukinibusubusu jamani
[01:01.00]Oka okaka
[01:02.00]Oka okaka
[01:04.00]Oka okaka
[01:06.00]Oka okaka
[01:08.00]Kama konokono mwenda pole
[01:10.00]Kwenye mchanga
[01:11.00]Nakupa mkono wa kongole
[01:14.00]Baby we mwamba
[01:15.00]Hesabu za kukokotoa
[01:18.00]Umenifunza wewe
[01:20.00]Waniamisha mikoa
[01:22.00]Bumbuli kwa ukerewe
[01:24.00]Ooh mapenzi ni kinywaji soft baridi
[01:27.00]Wananuna mwenzao nikifaidi
[01:32.00]Ooh malezi amerithi upande wa bibi
[01:35.00]Mwali nyuma kama mlima itigi
[01:38.00]Oka okaka
[01:40.00]Oka okaka
[01:42.00]Oka okaka
[01:44.00]Oka okaka
[01:46.00]Usizidishe chumvi ntapa safura
[01:50.00]Nimeambiwa juzi unachezaga chura
[01:53.00]Asa chura anarukaruka
[01:55.00]Chura anajumpjump
[01:57.00]Chura ooh ooh anarukatuka
[01:59.00]Jamani chura anajumpjump
[02:01.00]Adede adede adede adede adede yiih
[02:05.00]Adede adede adede adede fagilia waaah
[02:09.00]Yumpuala babu
[02:10.00]Eeeh fagilia waah
[02:13.00]Eeeh dokumembe
[02:15.00]Iltuyiskita
[02:17.00]Kusemasema kando hayo mambo ya kinafki
[02:20.00]Kama wayaweza mambo kuja uoneshe kati
[02:24.00]Chura anarukaruka chura anajumpjump
[02:27.00]Ooh chura anarukatuka chura anajumpjump
[02:31.00]Adede adede adede adede adede
[02:34.00]Adede adede adede adede adede fagilia waaah
[02:39.00]Erikato momo
[02:40.00]Eeeh fagilia waah
[02:43.00]Dondi yama dondi fumbe
[02:45.00]Sonte
[02:46.00]Inde inde inde baby inde
[02:49.00]Inde inde inde nione inde
[02:53.00]Inde inde inde baby inde
[02:57.00]Inde inde inde nione inde
[03:01.00]Huyo mtoto anabalaa mtoto anakusudi
[03:05.00]Muone mtoto anabalaa mtoto anakusudi
[03:08.00]Ooh anasifa anabalaa sifa za makusudi anakusudi
[03:12.00]Mwana anajibingiritaanabalaa kifudifudi anakusudi
[03:16.00]Wasafi
查看全部
如在线播放和下载错误 请更换浏览器刷新重试 或
提交反馈