Washa Lyrics
Mimi nawe nikikuacha nipigwe mawe
Mmmh yawe nikose vyote ubaki wewe
Na toka zamani nahisi kuwa nawe raha
Upo moyoni usije ukaenda mbali far
Nitakosa amani utanifanya
niumie oooh Niumie oooh!!
Oye iyelele soda yake sherere
Leo kwa nyumba sherere
Ogopa matapelilele!!
Oye iyelele Soda yake sherere
Leo kwa nyumba sherere
Ogopa matapelilele!
Wacha
It’s your wedding
Chapu chapu
Baby I'm ready
Washa
It’s my wedding
Chapu chapu
Baby you are ready
You know baby you know
Ingewekwa pesa nawe ningekuja kwako
I know baby I know
Sitopata mwingine mwenye mapenzi yako
Mmh owawawa umenichanganya unajua
Unanizungusha Akili kwenye mvua na jua
Ai we mama mama ukijaniacha utaniua
Ki kweli siwazi sifikiri mi muwazi unajua
Oye iyelele soda yake sherere
Leo kwa nyumba sherere
Ogopa matapelilele!!
Oye iyelele Soda yake sherere
Leo kwa nyumba sherere
Ogopa matapelilele!
Wacha
It’s your wedding
Chapu chapu
Baby I'm ready
Washa
It’s my wedding
Chapu chapu
Baby you are ready